Pamche super

Pamche super

Sh2,000(Fixed)

Pamche super ni mchele wa asili katika muonekano wa kisasa ambao unalimwa mbeya.
Sifa za mchele wa pamche ..
>Mchele huu ni msafi sana.
>Mchele huu unaladha madhubuti na ni msafi sana.
>Mchele huu unaharufu pia na umechakatwa kwa kiwango cha hali ya juu.
>Mchele huu pia unaviwango vya kisasa vya usalama na unaweza kutumika kwa matumizi ya nyumbani na makazini.
>Mchele unakuwa kwenye kiwango cha 1kg na kuendelee.

Location

Business Hours

We are currently open.
  Open   Close
MondayOpen (24 Hours)
TuesdayOpen (24 Hours)
WednesdayOpen (24 Hours)
ThursdayOpen (24 Hours)
FridayOpen Today (24 Hours)
SaturdayOpen (24 Hours)
SundayOpen (24 Hours)