Event Decoration / Mapambo ya Sherehe
Tunapamba sherehe za matukio yote katika ubora na hadhi ya juu.
Mapambo haya ni kulingana na bajet ya mteja , fanya siku yako ya muhimu iwe ya kukumbukwa.
Tunapatikana dar es salaam,kwa mawasiliano 0672095185.
Karibuni sana.


