๐ฑ๐ฅค LUNCH BOX + WATER BOTTLE (SET)
16000 rejareja
15,000 Jumla kuanzia 3
Bottle&LunchBox (Set)


LUNCH BOX + WATER BOTTLE (SET)
Je, unatafuta seti bora ya kubebea chakula na maji?
Hii Lunch Box na Bottle (Set) ni chaguo sahihi kwa matumizi ya kila siku


Sifa za Bidhaa:

Lunch box imetengenezwa kwa plastiki imara na salama kwa chakula

Haivujishi โ chakula kinabaki salama bila kumwagika

Inafaa kubeba wali, chakula cha mchana au vitafunwa

Water bottle ni imara, nyepesi na rahisi kubeba

Rahisi kuosha na hudumu kwa muda mrefu

Inafaa kwa watoto wa shule, wafanyakazi, safari na gym

Unapata:

Lunch Box 1

Water Bottle 1

Delivery:

Tunafanya delivery Dar es Salaam

Tunatuma mikoani kote

FREE DELIVERY (Jumamosi mchana):

Kiwalani

Vingunguti Scania

Kariakoo

Tandika

Temeke

Kipawa

Buguruni Chama


WhatsApp & Call: 0747 947 267