Double Layer Glass Cups
Sh7,500 – Sh8,500
Ni glass nzuri sana
Tsh 7500 Bei ya Jumla kuanzia pieces 6.
Tsh.8500 Bei ya piece 1
Size:Mls 350
Ni kubwa na material yake ni mazuri sana na mchanganyiko wa maua mbalimbali
Mikoani na nchi jirani tunatuma kwa uaminifu mkubwa.
Enjoy shop with us
0747947267
Watsap&call
Tunapatikana Vingunguti scania
Free Delivery Buza kanisani,vingunguti scania,kariakoo gerezani


