Pullnecks Classic na Zakijanja Sana
Sh12,000
pullnecks classic na za kijanja sana
ni nzito,soft,hazitoi upele na ukivaa hazi kwangui ngozi unaweza vaa bila vest wala bra.Hizi pullnecks ni unisex anavaa yoyote na hizi mvua za dodoma unakua classic,on trend na unajikinga na baridi.12000 tu unatokelezea kijanja.Njoo dm au whatsapp 0622313245 delivery kokote tanzania na kwa dodoma waliopo mjini unaweza letewa nyingi uchague mwenyew.karibuni wateja


