Mafunzo ya Upambaji. Maryam Events Designer
Je una ndoto ya kuwa mpambaji mkubwa na kuanzisha biashara ya upambaji basi ondoa shaka MARYAM EVENTS DESIGNER tumefungua darasa kwajili ya wewe unaetaka kutimiza ndoto zako tunafundisha upambaji kwa njia ya vitendo na kwa uhakika zaidi darasa letu limeanza rasmi sasa muda ni asubuhi na jioni tupo
mabibo chuo gharama zetu ni nafuu mnoo 0688672236 karibu ofisin kwetu ujiandikishe
