OllyJay Catering Service 🧑🍳

Hatuuzi chakula tu bali tunauza uzoefu na kumbukumbu nzuri kwa walaji wetu.

Kuondoa mzigo na wasiwasi Kwa kamati na familia Kwa ujumla na kuamini suala la chakula lipo mikono salama.

Kazi yetu kuandaa chakula kizuri kinacho wasilisha hadhi ya sherehe husika.


Zingatio letu ni kulisha chakula cha moto bila kujali muda husika wa walaji wetu .

0712897646/0625929055