Portable Mini Blender High Quality

Portable Mini Blender High Quality

Sh25,000(Fixed)
Wapendwa wateja wetu tumewaletea Min Blender nzuri kabisa High quality kwa tsh.25000/=tu
❤️Boss wangu chukua hii Blender uwe unakunywa fresh juice, smooth n.k
-unatumia kubrend matunda ili upate juice, smoothie n.k
-Unatumia kubrend chakula çha mtoto n.k
Unaweza kutumia popote kikubwa iwe na charge
-Yaani unaweza kwenda nayo Safari, ofisini ,Shambani ,n.k
Tunapatikana Arusha Delivery tunafanya ndani na nje ya Arusha kwa gharama za mteja
Tupigie uhudumiwe
0789740133

Location