Mashine za Kupukuchua Mahindi
Sh700,000 – Sh2,000,000
Mashine za kupukuchua mahindi bado zipo bei inaanzia laki7 mpaka milioni2 inategemea na ukubwa
Zinatumia mafuta na umeme
Zinatumia lita1 kwa dakika 60
Inabangua tani 1 kwa siku
Piga 0794149191


