📸 SELFIE STICK B16 (1.7mtre) – Imara & Stylish!

SELFIE STICK B16 (1.7M) – Imara & Stylish!
Piga picha na video za kiwango cha juu bila stress


Urefu hadi 1.7M

Stable QuadruPod – haisumbui kuyumba

Nzuri kwa vlog, live, TikTok, Instagram & Facebook

Rahisi kubeba na kutumia popote

Kama unapenda content safi na picha kali, hii ni yako kabisa


Location: Kariakoo – Mtaa wa Masasi & Likoma

Tunapatikana muda wote

0755302201