π₯ HEAT PRESS MACHINE 5-in-1

HEAT PRESS MACHINE 5-in-1 β MASHINE YA BIASHARA YENYE UWEZO WA HALI YA JUU!

Chapa kwenye T-shirt, vikombe, kofia na sahani β kwa mashine moja tu!
Unatafuta mashine ya uchapishaji kwa biashara ya branding? Heat Press 5 -in-1 ndiyo jibu sahihi kwa kazi nyingi kwa mashine moja


Sifa Kuu:

Inaweza kuchapa kwenye T-shirt (flat press)

Ina Mug pressβ vikombe vya rangi mbalimbali

Ina Cap press β kofia aina zote

Ina Plate press β sahani za zawadi au matangazo

Urahisi kutumia, matokeo ya kitaalamu

Imara kwa matumizi ya kila siku

Bei: TZS599,999/=

Warranty: Miezi 12

Tunapatikana: Ndanda & Muhonda

0750503744 β Piga simu au tuma DM

Tunatuma popote Tanzania