Butterfly LED(Set 5 pieces🦋 )
Sh5,000
Butterfly LED(Set 5 pieces
)
10,000 [2sets]
1500 @1 piece
Hivi vipepeo ni vizuri sana vinafaa kwa ajili ya mapambo ya ndani kwako,ofisini,jikoni ,sebuleni …ndani ya gari lako.
Betri yake imeonganika..na inakaa muda mrefu
Unaweza ukazima ama ukawasha muda wowote utakao wewe…
Unahitaji muonekano mzuri wa nyumba yako karibu upendezeshe muonekano wa nyumba yako na Monnly_Mart
Tunapatikana vingunguti scania
0747947267 watsap/call
Free Delivery
Buza kanisani,kiwalani, kipawa
Mikoani na nchi jirani tunatuma kwa uaminifu mkubwa


