Digital Printer for Batch no. & Exp
Sh650,000
Call
WhatsApp 0711 962 681
Unaweza kuchapa kwenye boksi, karatasi, mifuko ya plastiki, mbao, chuma, au chupa.
Inachapa maandishi kwa haraka sana bila kuharibu bidhaa.
Ina betri ya chaji (rechargeable) inayodumu kwa muda mrefu โ haina haja ya waya.
Rahisi kutumia, unaweza kuandika ujumbe unaotaka kuchapisha moja kwa moja kwenye mashine.
Inaweza kuhifadhi templates zako za kuchapisha kwa matumizi ya baadaye.
Unaweza kuchagua aina tofauti za maandishi (font styles) na lugha kadhaa.
Rahisi kubadilisha, na inapatikana kwa rangi tofauti kama black, red, blue n.k.
Unaweza kwenda nayo mahali popote kwenye ghala au dukani.
Location::nyamwezi na mkunguni
Contact us
:: 0711 962 681
- Condition: New


