Fundi wa Rangi za Magari Aina Zote
fundi wa rangi za magari haina zote huduma zinazopatikana kunyoosha na kupiga rangi kubadilisha rangi yeyote uipendayo kuchomelea gari kama imeoza pamoja polish pia tunabadilisha seat cover napatikana dar es salaam kurasini karibuni na bandari au nicheki kupitia Whatsapp namba
0652168068 au piga simu namba
0714503536 karibuni sana


