House for Sale Kivule, Ilala
Sh62,000,000
…NJOO UCHUKUE BUREE… (sharti lipia kwanza milion 62)
Nyumba inauzwa kati ya Kivule na msongola wilaya ya ilala Dar
Vyumba v3 viwili masta
Tailiz jipsam maji umeme
Jiko, bafu na choo
Ipo karib sana na stend (unatembea tu)
Nyaraka ya serikali ya mtaa
Eneo sqm 480 (makadilio)
Gari moja had mjini
Whatsap au piga 0629671030


