Impulse Sealer Mashine za Kubania Mifuko ya Plastc
Sh50,000 – Sh95,000
(Fixed)

Impulse sealer mashine za kubania mifuko ya plastc

size 200mm 50,000/=

size 300mm 75,000/=

size 400mm 95,000/=

inafunga kwa haraka bila kumchosha mtumiaji

imara ina warranty mwaka mmoja

nirahisi kutumia

inafaa dukani nyumbani sokoni supermarket butchani nk.

Tunapatikana kariakoo dar es laam

call

0711962681

call

0788962681

mteja tunampa ushauri kwakuzingatia ukweli na uaminifu