Jewelry Display Stands
Sh7,000
Cheni zako zikiwa zimepangwa vizuri, zinavutia macho ya mteja na biashara yako 
Stand ya Cheni na Hereni
kwa kupanga na ku-display cheni na hereni zako kwa mpangilio mzuri.
Inafaa kwa:
• Wauzaji wa jewelry
• Accessories shops
• Wanaouza online
• Wanaotaka bidhaa zao zionekane vizuri
Bei 7000


