Karibu Ujipatie Cages za Kuku wa Mayai (Layers)
Sh650,000 – Sh850,000
Karibu ujipatie cages za kuku wa mayai (Layers)
Tunauza kwa bei ya Tsh 650,000 kuku wa mayai 94
Tunazo pia za bei ya Tsh 850,000 kuku 128.
Cages zetu ni imara na zina waranty ya miaka 15.
Njoo tukuuzie cages imara sana na tukupe mafundi wenye ubobevu na umahiri mkubwa.
Njoo dukani kwetu TEMEKE DAR ES SALAAM au tupigie simu tukuletee mzigo mpaka ulipo
Tunatuma mzigo popote Tanzania
Piga au watsap 0794149191


