MBALIZI FARMING PROJECT. UZALISHAJI, USAMBAZAJI NA UUZAJI WA NG’OMBE BORA WA MAZIWA
Sh1,800,000 – Sh2,600,000
MBALIZI FARMING PROJECT TUNAJIUSISHA NA UZALISHAJI USAMBAZAJI NA UHUZAJI WA NGOMBE BORA WA MAZIWA
0750485879
0750485879
(1) Tunao mitamba ambao awajapandwa ila waweza pandwa mda wowote bei ni kuanzia Tsh 1800000 adi 2000000 inategemea na mtamba wenyewe
(2) Pia mtamba mwenye mimba kuanzia miezi mitatu (3) adi miezi sita (6) ni Tsh2000000 adi 2500000
(3) PIA tunao ng’ombe walio zaa mara moja mara mbili na mara tatu ambao wanakamuliwa maziwa kuanizia liter 16 adi 22 inategemea na ng’ombe mwenyewe bei zao ni kuanizia Tsh 2300000 adi 2600000 na kuendelea
(4) Na pia kwa wale wanao itaji ndama madume pamoja na majike wanapatikana kuanzia umri wa miezi minne adi sita kwa bei kuanzia Tsh 750000 adi 850000
KARIBU SANA UPATE NG’OMBE WAZURI KWA UZALISHAJI
TUNAPATIKANA MBALIZI MBEYA
wasiliana nasi kwa simu namba
0750485879


