Mitumba Grade One
Sh10,000
Kwa wale wanaopenda mitumba grade one pamoja na fashion nimewaletea nguo kaliii kwaajili yenu Tena kwa bei chee unaweza kupata nguo bomba Kama hizi bila kuathiri chochote kwenye mfuko wako kwa Tsh Elfu Kumi tu ya kitanzania unatokelezea wahi Sasa kwani mzigo ni mchache sana 0788363456 ninapatikana Tuangoma fun city Dar es Salaam mikoa ninatuma nguo kwa uaminifu mkubwa sana


