Nyumba Inauzwa Kivule Makonde
Sh25,000,000
Nyumba inauzwa kivule makonde wilaya ya ilala dar
BEI MILION 25 MAONGEZ YAPO
Vyumba v3 kimoja masta
Sebule, jipsam
Maji umeme
Gar moja had mjin
Eneo sqm 280 (makadilio)
Parking ipo
Whatsap au piga 0629671030


