Radio ya Solar yenye Bluetooth na Tochi Kubwa
Sh35,000
Ofa Ofa kwa bei ya Ofa ya Tsh 35,000 tu sasa unaweza kuipata Redio hii ya Bluetooth ni Ofa ya siku chache ina PowerBank ndani yake yenye uwezo wa kuchaji Simu kubwa zaidi ya moja, Pia ina Tochi yake yenye Mwanga mkubwa, Pia ina Bulb mbili zenye waya mrefu na mwanga mkubwa, Pia zinakuja na Solar panel yake hivyo utaichaji Juani kama umeme ukikatika kwa mda mrefu.Pia inasehemu yakuweka MemoryCard na sehem yakuweka Flash, pia ina Antenna ndefu yakushika Station nyngi sana pia inakuja na Chaja ya Pweza yakuchajia simu yako.Unapewa Warranty mwaka mzima.Tupo Sinza kwa Remi pia Tunafanya delivery kwa bei nafuu sana +255752022751
- Condition: New


