RØDE NTG4+ Shotgun Microphone
Sh450,000
RØDE NTG4+ Shotgun Microphone
High Quality Microphone
* Ina betri ya ndani inayochajiwa na hudumu muda mrefu.
* Inatumia pia Phantom Power (48V)
* Inachukua sauti ya mbele tu kwa ufanisi (supercardioid).
* Sauti ni safi na ya kitaalamu (broadcast quality)
* Inapunguza kelele za nyuma (background noise rejection)
* Ina High-pass filter kupunguza low rumble
* Ina High-frequency boost kuboresha clarity ya sauti
* Ina -10dB pad kwa kurekodi sauti kubwa bila distortion
* Ni nyepesi na rahisi kutumia kwenye boom au camera.
* Inatumia XLR connection kwa audio imara na ya professional
Serious Buyer:
Bei: 450,000/=
Nicheki: 0768871714
Ubungo, Dar es Salaam,
Mteja Wa Chap anahitajika Tuna changamoto ya Chap
- Condition: New


