SABUNI YA MWANI (SEAMOSS SOAP)
Sh3,000
SABUNI YA MWANI(SEAMOSS SOAP)
-Husaidia kuondoa muwasho kwenye ngozi.
-Huondoa chunusi,madoa,mapunye,matangotango,makovu na matatizo yote ya ngozi.
-Ni sabuni nzuri iliyosheheni madini ya baharini ambayo husaidia ngozi zisizoeleweka.
-Kazi yake kubwa ni kutibu ngozi.
-Ina povu jingi,haichagui maji,haina harufu mbaya.
-Ni nzuri pia kwa watoto.
Bei Elfu 3
Call/whatsapp:-0752050496
Shekilango NHC
Dar


