SWAHILI SINGO BODY SCRUB ๐ฅ
FAIDA. ZA SWAHILI SINGO BODY SCRUB

kuondoa dead skin

kuondoa weusi kwenye makwapa katikat ya mapaja weusi chin ya makalio

kungaโarisha ngozi

kuvua gamba

kusoftisha ngozi

Faida ya kufanya Singo/Scrub mwili mzima:-

Ngozi inakubali lotion.

Kuondoa ngozi iliyokufa na kuruhusu ngozi mpya.

Kuipa ngozi yako mng’ao na rangi moja.

Kuondoa weusi sehemu mbalimbali za mwili

Kuondoa uchovu na kuchangamsha mwili pia sababu ukifanya Singo unafanyiwa na masaj.
Tunapatikana Dodoma machinga na michese karibuni sana Sana tuwahudumie booking no. 0614248490

inaondoa. Nongo