🚨 Apartment Mpya na Zakisasa Zinapangishwa

Apartment mpya na za kisasa kabisa zinapangishwa Makulu Ostabey Dodoma mjini.

Ni Sebule Master na jiko , ndani ya Fence Nzuri.

Apartment hizi zina sifa na vitu vifuatavyo; Electric fence, Feni, Kabati zuri la nguo, Heater, Kitchen cabinet, unajitegemea Umeme,maji 24hrs kuna ya DUWASA na kisima, Sehemu yako ya kufulia na kuanikia nguo, choo cha kisasa kabisa, eneo kubwa la parking, nasifa nyingi nzuri.


Bei ni 300,000×3

Tuwasiliane mapema usije kosa kuishi sehemu hii tulivu, nyumba ni za kuwahi Sana zinaisha
Mawasiliano: 0748 333 331